WEWE NI NANI?-Sehemu ya Nne
@yurisdutch Yurisdutch@gmail.com Yesu kristo akatoa jibu ZURI katika swali ni nani? akasema "Mimi ndimi mkate wa uzima,Mimi ndimi neno LA uhai,Mimi ndimi nafsi hai,Mimi ndimi mchungaji mwema,Mimi ndimi mlango wa kuelekea uzimani,Mimi ndimi njia ya ufufuo na uzima,Mimi ndimi ninayejishudia Mwenyewe" mathayo to YOHANA NT Yesu kristo alijitambua kuwa yeye ni nani na tangu akiwa mdogo alifanya mambo yanayoendana na kusudi lake.Alikuwa anajua jibu LA swali "wewe ni nani? alijua hatma na kusudi LA yeye kuwepo hapa duniani. Kitendo cha kufahamu yeye ni nani kilimpa umakini katika mambo aliyokuwa akiyafanya hata kulifuata kusudi lake.Hakuweza kuyumbishwa na mahitaji ya Nje .Vitu vilivyomzunguka hakukubali vimuondoe katika mstari ulionyooka wa kufika alipotakiwa kufika na akafika. Hakutishwa na ubora wa maisha ya watu wengine,Na hakukubali kuishi maisha ya watu wengine badala yake ,yeye aliishi maisha yake. Hakukubali kuishi kwa kuong...