Posts

Showing posts from July, 2020

USIJIFUNZE BILA MPANGILIO

Image
Kujifunza ni vyema, ila tujifunze kwa utaratibu  Hapa Naongelea vitu kama course za online au mtandaoni kokote pale Tatizo la wengi kila upepo wa elimu tukisikia tu una mafanikio basi hapo hapo unaacha nyingine unaidakia nyingine  Mara Leo ujifunze forex, hapo hapo dropshipping, Mara graphics Mara YouTube, Mara sponsored ads ,mara online marketing  Ngoja nikwambie kwa chochote unachojifunza kwanza kabla haujaanza kujifunza, fuatilia vizuri kwanza ili uridhike kama Kweli unatka kujifunza  Mwisho wa siku utadanga Danga 😀 Alafu ujikute umepoteza muda na umepoteza vya thamani zaidi  Ukianza maliza,  Soon tutaanza kuPata Maarifa kidogo kuhusu digital skills Kama YouTube,sponsored ads, online marketing n.k Mkumbushe na mwenzako apakue app ya Utre News 

Hard Vs Smart Working

Image
@ mr_sometime_ kuna utofauti mkubwa ,kufanya kazi kwa bidii na kitu kinaitwa Smart Hard working  Smart working, ni mfumo ambao waajiri wengi, hata serikali huutumia,  Mfumo huu unakuitaji wewe kutumia akili nyingi na sio nguvu  Unaweza kuwa hard worker kwa kutumia nguvu nyingi na masaa yakutosha, lakini matokeo yake yakawa madogo. Hebu angalia kama bilionea Jeff Bezos  Ametengeneza e-commerce website Watu wananunua vitu online, na wafanyabiashara wanaweza vitu vyao kule  Baadae wanamlipa pesa kidogo kwa kila product.  Hiyo tunaiiita smart working  Hivi ulishawahi kuwaza kuna wakati utaingiza pesa hata ukiwa umelala  😊😊😊 "pesa usipokutumikia, utaitumikia mpaka kifo chako" Hii inawahusu sana wazee wa hard working  Sio kila mahali uwe hard worker, utapinda buree  Think of smart working  See you  Install Utre News app sasa 

NGUZO ZA MAFANIKIO

Image

WEWE NI NANI?-Sehemu ya tano

Image
SEHEMU YA TANO yurisdutch@gmail.com @yurisdutch For Offial matters Contact: 0768969596 Miaka saba iliyopita haukuwa kama ulivyo Leo.Swali je ni kwanini haukubaki kuwa kama uliyokuwa Miaka saba iliyopita?umri uliokuwa nao Miaka saba iliyopita sio umri ulionao sasa ,je ni kwanini kuna utofauti huo?kiasi cha chakula ulichokuwa unakihitaji kwa ajili ya kuishi katika kipindi kilichopita ni tofauti na kiasi cha chakula  unachokihitaji sasa kwa ajili ya kuishi.Je ni kwanini kuna utofauti mkubwa hivo? Hivi ni kweli nitakufa  bila kujua Mimi ni nani?Jibu ni hapana kama nitakuwa tayari  kujua na jibu ni ndio kama sitajishughulisha  na kujua Mimi ni nani. Kitendo cha kutambua utofauti   uliopo  kati ya hali na namna ulivyokuwa  zamani ukilinganisha na ulivyo sasa ni jibu tosha kwamba kuna namna Fulani unaanza kuhisi kuwa wewe ni nani.Bado hujanielewa vizuri Hebu twende mbele Zaidi.... Mtengenezaji wa gari  ndio anayelijua gari lake vizuri ku...