JIFUNZE HAYA YATAKULIPA
Moja ya jambo la msingi kwenye ulimwengu wa leo ni kufahamu kwa namna gani MB zako zitabilika na kuwa pesa kwako. Kwa nchi nyingi za wenzetu wameshafahamu hilo kitambo sana,hapa ndipo wametuacha pia.. Lakini hatujachelewa,ndio maana @ mrsometime tumejipanga kukuonyesha namna gani uweza kutumia mitandaoni hii kukuza biashara yako,kukuza kipaji chako Kukuza jina lako,kujitangaza na kuonyesha jamii nzima ya ulimwengu wa technologia kwamba unafanya nini. Na leo tumekuletea vitu ambavyo ukitenga muda wako na Kujifunza,vinaweza kuja kuwa vyanzo vingine vya kipato Wakati Mwingine unaweza acha hata kazi yako ya kuajiriwa na ukajiajiri kwenye hivi vitu..... Tutalezea kimoja kimoja siku nyingine,jinsi gani unaweza jifunza au jinsi gani unaweza kuanza.. Au comment hapo chini maoni yako na unataka tukuelezee kitu gani kingine Sisi pia Tunafundsha ukihitaji kujifunza kutoka kwetu.... . Asante NEW POST EVERY DAY Like🔛SAVE🔛 comment🔛 SHARE Follow us @mr_sometime_ Contacts 076634606...