UWEZO NI PESA
Hapo ndipo wengi walipofika mbali
Hebu angalia watu wengi wenye mafanikio ,ni kwa sababu waligundua vipaji,uwezo na passions zao zilipo
Uzuri ni kwamba kwa karne yetu unaweza pata ujuzi hata mitandaoni.
Mbona inawezekana kuingiza kipato cha ziada au ikawa kazi kabisa kwa kutumia technology yetu ya sasa.
Kufanikiwa ni kuamua na kutumia ulichonacho , tuonyeshe Jamie unaweza nini? Usikalie kujipa sifa za kijinga ,amua wateja wako ni sisi
Tutajuaje kama unaweza, hii nayo ni tatizo ,hivi unajua hizi elimu nje ya shule zimewatoa wengi sana.Hata wewe unaweza ukatoka
Tumia mitandao vizuri kuna vitu vingi sana huko ni wewe kuamua TU.
Kila kitu kimehamia mtandaoni,jifunze sasa na karibu tujifunze wote
0625645425
Bado Tunaendelea kufundisha kuhusu online marketing, sponsored ads, YouTube masterclass N.K
Karibu
Comments
Post a Comment