COMMENTS NI PESA

Nikukumbushe kitu au nikujuze kitu kama ulikuwa haufahamu

Comment hizo sometimes zinaongeza wateja, followers na uaminifu 
Sasa ni vyema kuzitumia vizuri,kama mtu akikuuliza swali gumu au la aibu ,usikimbilie kulifuta
Tafuta namna ya kujibu swali hilo 

Itakusaidia watu kuamini kwamba walichodhani kabla sio hivyo ulivyo

Nakukumbusha tu comments ni wateja hao ziheshimu
.
.
NEW POST EVERY DAY 

Likeđź”›SAVEđź”› commentđź”› SHARE

Follow us @mr_sometime_
#tbt #TBT
Contacts 0766346065///0625645425

.

Bado Tunaendelea kufundisha kuhusu online marketing, jinsi ya kuongeza wateja kwenye biashara kupitia mitandao, sponsored ads, YouTube masterclass 

Karibu sana

Install Utre News app link ipo kwenye bio yangu

Turn on Post Notification

PITIA PAGE HII UJIFUNZE ZAIDIđź‘‚

#Thisisourvoice

"we restore back our mind capability , we create facts to show our ability" .

.

Likeđź”›SAVEđź”› commentđź”› SHARE

Comments

Popular posts from this blog

Life full of success just like the chinese bamboo tree

TENGENEZA POST TOFAUTI