TENGENEZA POST TOFAUTI

Leo tunakukumbusha wewe mwenye kufanya shughuli zako mitandaoni....

Lazima utafute style na namna tofauti tofauti za kupost 

Hii utajua hasa watu wanapenda nini na nini hawapendi..

Kama wewe unaauza kitu online
Jaribu kutafuta namna tofauti za kutuvutia kupenda biashara yako..

Kuna kitu haujafahamu ,mtu kukupenda au kununua bidhaa au huduma yako,ni kutokana na jinsi ulivyoithamimisha biashara yako hivyo ndio maana lazima utafute namna tofauti tofauti za kutuvutia

Unataka Ushauri jinsi ya kupost namna tofauti tofauti kwenye page yako
Karibu Dm me au 0766346065 whatsapp nitakushauri ......
Asante...

NEW POST EVERY DAY 

Likeđź”›SAVEđź”› commentđź”› SHARE

Follow us @mr_sometime_
Contacts 0766346065///0625645425

.

Bado Tunaendelea kufundisha kuhusu online marketing, jinsi ya kuongeza wateja kwenye biashara kupitia mitandao, sponsored ads, YouTube masterclass 

Karibu sana

Install Utre News app link ipo kwenye bio yangu

Turn on Post Notification

PITIA PAGE HII UJIFUNZE ZAIDIđź‘‚

#Thisisourvoice

"we restore back our mind capability , we create facts to show our ability" .

.

Likeđź”›SAVEđź”› commentđź”› SHARE

Comments

Popular posts from this blog

Life full of success just like the chinese bamboo tree

COMMENTS NI PESA