SOCIAL MEDIA MARKETING???

Social Media Marketing ni kitendo cha kutumia social media platforms(mf Instagram,Twitter,Facebook,YouTube) kutengeneza au kukuza brand yako kwa lengo la kuongeza mauzo ya bidhaa au huduma yoyote Ile.
Kwa kawaida kabisa dunia ya sasa imetawaliwa na technology na watumiaji wa technology hiyo ni mimi na wewe!
Kila mwenye biashara ama mwenye ujuzi anatamani kunufaika na technologia ,sasa hapa ndipo upinzani huwa mkubwa ,Kila mtu na mawazo yake na Kila mtu anapost
Sasa hapa inabidi uchague mambo matatu
1.Ujifunze Social media Marketing
2.Ulipie ufanyiwe Social Media Marketing
3.Ukae tu watu watugundua wenyewe unafanya nini mtandaoni😁😂
Mimi nakuchagulia namba 1&2

Unapofanya Social Media Marketing unafasi kubwa sana kufikia walengwa wako au kujitambulisha kwamba wewe ni nani hasa!!
Tunajifunza kidogo social Media Marketing katika platforms kubwa zenye faida zaidi. Mfano Instagram!!
Asante
Contact me 0625645425

Comments

Popular posts from this blog

Life full of success just like the chinese bamboo tree

TENGENEZA POST TOFAUTI

COMMENTS NI PESA