SURA YANGU NA MAFANIKIO

Hii kitu inawatesa wengi sana,
Kuna wengine wanajifariji kwamba mtu flani hawezi fanikiwa kisa ana sura Ngumu😰😁

We ulisikia wapi mafanikio ,ni sura tamu au ngumu.

Kumbuka wote waliofanikiwa,tafuta na picha zao za ujana au utoto au kabla hawajafanikiwa utaniambia.😁

Watu wanasura zao mzee ni hatari!!

Naomba usipoteze muda kwa kufanya vitu hivi
1.Kuombea mtu flani usifanikiwe
2.Kumuona mwenzako hawezi fanikiwa kisa sura yake.

Mafinikio ni
1.Kujituma
2.Uvumilivu
3.Ubunifu
4.Usikivu
5.Utendaji na uwajibikaji bora.
6.Smart and hard working(kwenye post zilizopita tumeeleza hii)
7.Kushobokea fursa

Sasa umeona wapi sura inahusika hapo.

Asante

NEW POST EVERY DAY 

Like🔛SAVE🔛 comment🔛 SHARE

Follow us @mr_sometime_
Contacts 0766346065///0625645425
.
Bado Tunaendelea kufundisha kuhusu online marketing, sponsored ads, YouTube masterclass N.K
Karibu sana

Install Utre News app link ipo kwenye bio yangu

Turn on Post Notification

PITIA PAGE HII UJIFUNZE ZAIDI👂

#Thisisourvoice
"we restore back our mind capability , we create facts to show our ability" .
.
Like🔛SAVE🔛 comment🔛 SHARE

Comments

Popular posts from this blog

Life full of success just like the chinese bamboo tree

TENGENEZA POST TOFAUTI

COMMENTS NI PESA