JIFUNZE HAYA YATAKULIPA
Moja ya jambo la msingi kwenye ulimwengu wa leo ni kufahamu kwa namna gani MB zako zitabilika na kuwa pesa kwako.
Kwa nchi nyingi za wenzetu wameshafahamu hilo kitambo sana,hapa ndipo wametuacha pia..
Lakini hatujachelewa,ndio maana @mrsometime tumejipanga kukuonyesha namna gani uweza kutumia mitandaoni hii kukuza biashara yako,kukuza kipaji chako
Kukuza jina lako,kujitangaza na kuonyesha jamii nzima ya ulimwengu wa technologia kwamba unafanya nini.
Na leo tumekuletea vitu ambavyo ukitenga muda wako na Kujifunza,vinaweza kuja kuwa vyanzo vingine vya kipato
Wakati Mwingine unaweza acha hata kazi yako ya kuajiriwa na ukajiajiri kwenye hivi vitu.....
Tutalezea kimoja kimoja siku nyingine,jinsi gani unaweza jifunza au jinsi gani unaweza kuanza..
Au comment hapo chini maoni yako na unataka tukuelezee kitu gani kingine
Sisi pia Tunafundsha ukihitaji kujifunza kutoka kwetu....
.
Asante
NEW POST EVERY DAY
Likeđź”›SAVEđź”› commentđź”› SHARE
Follow us @mr_sometime_
Contacts 0766346065///0625645425
.
Bado Tunaendelea kufundisha kuhusu online marketing, jinsi ya kuongeza wateja kwenye biashara kupitia mitandao, sponsored ads, YouTube masterclass
Karibu sana
Install Utre News app link ipo kwenye bio yangu
Turn on Post Notification
PITIA PAGE HII UJIFUNZE ZAIDIđź‘‚
#Thisisourvoice
"we restore back our mind capability , we create facts to show our ability" .
.
Likeđź”›SAVEđź”› commentđź”› SHARE
Comments
Post a Comment