HUYU ALIAMUA

Ni pale unapogundua kuwa maamuzi yako ndio maisha yako
Unaogopa sana kuchekwa,kudhauriwa hata kupoteza rafiki au mali
Ila kumbuka maamuzi yako ndio biashara yako kubwa
Utajisikiaje ukiona wale uliokuwa nao tangu mwanzo na uliwacheka ila leo wana maisha yao mazuri wakati wewe hata vocha inakusumbua.
Huyu jamaa alichukua maamuzi magumu na mazito ila leo anaonekana ni mkombozi wa wengi.
Nani hatumii whatsapp hapa
Karibia wote tunatumia, dunia ya leo wanatafutwa sana wenye uwezo wa kutatua matatizo
Jifunze kutatua matatizo pesa itakufuata tu
MAAMUZI yako mtaji wako...

Unataka kukuza jina,brand au biashara yako online Karibu kwa ushauri pamoja na mafunzo maalumu ,unaweza sana haujui tu!!
ASANTE

Follow us @mr_sometime_
Contact  0625645425
.
Bado Tunaendelea kufundisha kuhusu online marketing, sponsored ads, YouTube masterclass N.K
Karibu sana

Install Utre News app link ipo kwenye bio yangu
NEW POST EVERY DAY 
.
#Thisisourvoice
"we restore back our mind capability , we create facts to show our ability" .
.
Likeđź”›SAVEđź”› commentđź”› SHARE

Comments

Popular posts from this blog

Life full of success just like the chinese bamboo tree

TENGENEZA POST TOFAUTI

COMMENTS NI PESA