UHURU NA PESA
Hello habari, Karibu tena
Leo tunaongelea uhuru wa kifedha,
Kama ulikuwa unafanya kazi tu haujawahi kuwaza kuhusu uhuru wa kifedha basi utateseka sana
Watu wengi wanapinga swala la kuajiriwa
But naona kuna kitu hakipo Sawa, yan Kwa haraka haraka na kwa mtazamo wangu, swala la kuajiriwa maana hasa ni ukosefu wa uhuru WA kifedha na maisha unayoyataka, hiyo ndio maana hasa
Ngoja nikupe Mfano, kuna watu wengi wanafanya kazi kwenye kampuni flani kwa masaa machache sana na kampuni hizo zimewachukulia kama waajiriwa lakini ni watu wanaotengeneza pesa nzuri Kwa masaa hayo machache kisha wanaendelea na kazi zao
Hao tunasema wana uhuru wa kifedha ila ni waajiriwa.
Hebu nikupe tip nyepesi pia ni ngumu kwenye maisha yako angalia namna ya kupata uhuru wa kifedha (financial freedom)
Kama una biashara, tafuta namna iwe macho kupitia mitandao
Kama haufahamu niulize kivipi
Asante see youuuuuuuuu
Bado Tunaendelea kufundisha kuhusu online marketing, sponsored ads, YouTube masterclass N.K
Karibu
Contact me 0625645425
Comments
Post a Comment