KUKUA KIAKIRI 001

Hello hii ni series sehemu ya kwanza,
Ukiwa na sifa hizi tambua kwamba na akili yako imekua
Ikumbukwe kwamba vyote hivi unavipata ndani ya Utre News app,pakua sasa kutoka playstore

Kukua kimwili na kuwa na Miaka mingi sio kukua kiakili,unaweza kuwa na mwili mkubwa ,pamoja na  miaka mingi ila akili yako bado ya Kitoto.

Jichunguze mwenyewe na ujigundue umekua kiumri au vyote pamoja na akili??

See next post,hii ni series endelea kuwa nasi

Hakikisha umedownload Utre News app,kama unayo mwalike na mwenzako awe nayo itapendeza sana
Asante

Comments

Popular posts from this blog

Life full of success just like the chinese bamboo tree

TENGENEZA POST TOFAUTI

COMMENTS NI PESA