MAKOSA HAYA HUFANYWA NA NEW YOUTUBERS WENG

Mr Sometime 
Hello karibu tena  ,hapa tunakupa tips mbalimbali kuhusu biashara na digital skills mbalimbali, zitakazokuhamasisha na kukusaidia kufikia malengo yako 

Na Leo tunaenda kuongelea kwa kifupi, makosa ambayo watu wengi wanaoanzisha YouTube channel huwa wanayafanya, 
Pole sana kwa wale ambao hawaelewi chochote kuhusu YouTube channel lakini haujachelewa unaweza pata darasa lako binafsi na ukajifunza au ukaongeza maarifa zaidi 
Basi nisikuchoshe, let's start 

01:ANAPOST KILA KITU 
Channel Nzuri ya YouTube unatakiwa kueleweka unafanya kitu kipi hasa, Kama ni habari tujue ni habari, Kama ni michezo tujue ni michezo, sio kila kitu unapost 

02:INTRO NDEFU SANA
New Youtubers wengi hapa napo wanakosa, unakuta video yako inaanza na intro ndefu, badala ya kwenda direct kwenye point, unatumia mda mrefu kuonyesha vitu ambavyo havijatuleta kwenye channel yako 
03:HAPOST MARA KWA MARA 
unapost kidog siku mbili Alafu, unakuja kupost tena baada ya miezi, hapo unakosea

04:KUKATA TAMAA MAPEMA 
hili nalo tatizo, unajikuta unakata tamaa mapema sana Kisa umeona Wengine wamefanikiwa basi unajiona kama hauwezi vile 
,hili nalo ni tatizo, pambana mpaka kieleweke, usidhani vitu ni rahisi hivyo 

05:KUTOWAPA THAMANI WATAZAMAJI 
moja ya jambo zuri ni kuonyesha kiasi gani unawajari na kuwapenda watazamaji wako mfano unawatengenezea video mbaya then cha ajabu unawadanganya kwenye title yako yan hauwajari kabisa 

06:KUTUMIA LUGHA ZA KIDINI AMA SIASA 
Kama channel yako haihusiani na dini acha kuongelea mambo ya dini ama siasa 

07:EDITING MBAYA 
jifunze kuedit vizuri, kuanzia Sauti na mpangilio WA makala zako 
Hilo ni jambo la msingi sana 

basi leo tuishie hapo 
kama utahitaj kujifunza mambo mengi kuhusu YouTube, kuhusu sponsored ads 
jinsi ya kukuza biashara yako 
kuanzisha biashara mtandaoni 
Karibu sana

Comments

Popular posts from this blog

Life full of success just like the chinese bamboo tree

TENGENEZA POST TOFAUTI

COMMENTS NI PESA