HII NDIO TANZANIA

Hello Karibu tena!!!
Jicho lako linaona Nini kwenye muda wako.
Muda ulionao hauwezi kurudi tena.
Unaonaje ukiwekeza sasa,
Unajua ni raha hata kama ukiajiriwa ila ni kazi unayoipenda!!

Maana kubwa ni kwamba uwe Tayari unaendesha mambo yako hapo hata ajira utaifanya kwa ustadi sio unafki kutaka kupendwa na boss.

Angalia fursa usiwe unalalamika sana,
Usilalamike kama hautaki kujaribu,kaa kimya.

Unaogopa kushindwa ila miaka haisimami,utaabika baadae,watoto wadogo watakucheka 

Tumia muda huu kuwekeza na wewe uajiri watu....

Asante

NEW POST EVERY DAY 

Likeđź”›SAVEđź”› commentđź”› SHARE

Follow us @mr_sometime_
Contacts 0766346065///0625645425
.
Bado Tunaendelea kufundisha kuhusu online marketing, jinsi ya kuongeza wateja kwenye biashara kupitia mitandao, sponsored ads, YouTube masterclass 
Karibu sana

Install Utre News app link ipo kwenye bio yangu

Turn on Post Notification

PITIA PAGE HII UJIFUNZE ZAIDIđź‘‚

#Thisisourvoice
"we restore back our mind capability , we create facts to show our ability" .
.
Likeđź”›SAVEđź”› commentđź”› SHARE

Comments

Popular posts from this blog

Life full of success just like the chinese bamboo tree

TENGENEZA POST TOFAUTI

COMMENTS NI PESA