Hard Vs Smart Working

@mr_sometime_

kuna utofauti mkubwa ,kufanya kazi kwa bidii na kitu kinaitwa Smart Hard working 
Smart working, ni mfumo ambao waajiri wengi, hata serikali huutumia, 
Mfumo huu unakuitaji wewe kutumia akili nyingi na sio nguvu 
Unaweza kuwa hard worker kwa kutumia nguvu nyingi na masaa yakutosha, lakini matokeo yake yakawa madogo.
Hebu angalia kama bilionea Jeff Bezos 
Ametengeneza e-commerce website Watu wananunua vitu online, na wafanyabiashara wanaweza vitu vyao kule 
Baadae wanamlipa pesa kidogo kwa kila product. 
Hiyo tunaiiita smart working 
Hivi ulishawahi kuwaza kuna wakati utaingiza pesa hata ukiwa umelala 
😊😊😊
"pesa usipokutumikia, utaitumikia mpaka kifo chako"

Hii inawahusu sana wazee wa hard working 
Sio kila mahali uwe hard worker, utapinda buree 
Think of smart working 
See you 
Install Utre News app sasa 

Comments

Popular posts from this blog

Life full of success just like the chinese bamboo tree

TENGENEZA POST TOFAUTI

COMMENTS NI PESA