CV CV CV CV CV CV CV CV
CV ni picha ya maisha yako na hususani utendaji na uzoefu wa kazi. Ili uandike CV bora, ni muhimu kuwa na tabia ya kuandika na kuhifadhi kumbukumbu mbalimbali. Hifadhi kumbukumbu kuhusu maisha yako ya shule na kazi mbalimbali ulizowahi kufanya toka utotoni mpaka hivi leo. Kumbuka tarehe na aina ya kazi ulizozifanya na hususani ujuzi na uzoefu ulioupata kutokana na kufanya kazi ile. Hakikisha unaboresha taarifa katika CV yako kila mara.

Comments
Post a Comment