ELIMU NDIO HII



ELIMU NI UWEZO WA KUFIKIRI KATIKA KUUTAFUTA UKWELI

Elimu siyo kuyajua unayoambiwa, siyo kuyakumbuka uliyoambiwa, siyo kurudia kuyasema uliyoaminishwa. Elimu ni kuweza kuyafikiria unayoyaona, unayoyasikia, unayoyasoma, na unayoyashuhudia kwa namna mbalimbali katika kuutafuta ukweli. Anayeujua ukweli akinyang'anywa kipaza sauti, wengi huambulia kusikia ya uongo lakini hata taarifa za uongo humuelimisha mtu aliyeamua kufikiri.

© Mathias Masaka

Comments

Popular posts from this blog

Life full of success just like the chinese bamboo tree

TENGENEZA POST TOFAUTI

COMMENTS NI PESA