INASIKITISHA SANA

Amekutext inbox WhatsApp 📩
Ukamuuliza we nani? 🤷♀
Akakujibu jina🤦♂
Ukamuuliza umepata wapi namba yangu?🤷♀
Akakujibu, nimepata kwenye lile group tupo wote🤳
Ukachukulia poa tu🧕
Ulivyoingia fb ukakuta amekutumia urafiki 'Friend Request' facebook
Ukam Confirm
Ukaingia katika Timeline yake.
Ukaangalia picha zake
Ni mkaka handsome
Anaendesha Range
Anaonekana ni jamaa mwenye uwezo
Akakutumia text messenger
Ukamjibu
Mkachat sana kufahamiana zaidi
Akakuomba umtumie picha zako
Ukamtumia
Akakusifia jinsi ulivyo beautiful
Ukasema, "Kawaida kaka"
Siku kadhaa zikapita
Akakutext tena
Ukafurahia kuona text yake
Mwishowe akafunguka kuwa amekupenda
Hukuamini
Akakakuhakikishia kweli anakupenda
Ukamwamini na kumkubalia
Ukawa unamuomba akutumie pesa za kutumia
Akawa anakutumia zaidi ya ulichoomba, umeomba 5000 sms ya TIGOPESA inakuja 20,000
Ukaona hapa mwanaume nimepata
Ukawa unapost picha zake fb na kwenye status yako WhatsApp picha zake hazikukoma
Akakuomba muonane
Mkapanga kuonana
Ukamwambia atume nauri.
Bila kuchelewa sms ya TIGOPESA ikalindima kwenye simu yako. 200,000 ni nauri umetumiwa ingawa unapotokea na unakokwenda haizidi 70,000.
Ukajikwatua mwenyewe
Ukaenda kusuka kwenye ile saluni yako unasukagwa sikuzote
Ukawaambia wakusuke vizuri kabisa maana unaenda kuonana na kingboy wako
Ukajipulizia na marashi ya kunukia vyema
Ukaweka na make-up na weave mpya.
Ukapanda usafiri.
Njiani hakuacha kukusalimu na kujua umefika wapi
Hatimaye safari yako ukafika.
Akaja stendi kukupokea
Akakuchukua kwa ajili ya lunch kwa hotel
Akakuagizia na soft drinks
Mkawa na muda mzuri pamoja
Akakushika mkono
Akakufanya uwe unacheka muda wote kwa vituko vyake
Ukampenda mno
Ikawa kama umemjua kwa miaka
Akakuchukua kwenda kwake
Akaweka mazingira ya wewe kujisikia upo kwako kwa kukuruhusu ulale kitandani kwake
Akakubusu kimahaba
Ukapenda jinsi alivyo romantic, nguvu na ujasiri
Ukajisikia secure ukiwa nae
Akaanza kukupapasa matiti yako taratibu
Ukajua kuwa unachoenda kufanya sio sahihi lakini ukajisikia poa tu
Ukamwambia mtumie kinga, akakuambia 'haitaleta utamu baby'.
Ukamkubalia maana hukutaka kumsumbua.
Akakuambia anakupenda na hukusita kumwambia unampenda pia.
Baada ya kumaliza akafungua friji na kukunywesha maji ya kunywa.
Ukajihisi hapa mume nimepata
Ukajihisi ni mwanamke special
Atakuwa ndio yeye uliyekuwa ukimuota siku zote.
Akaanza kukuvua bikin zako taratibu
Nawe ukaanza kumvua bukta yake huku ukimtazama kwa jicho lilolewa mahaba
Mkaangushana kitandani
Mkaanza kufanya
Wakati wa shughuli ulijihisi dunia nzima unaimiliki wewe
Kwani alikuwa akikupa raha ambazo hukuwahi kupewa na mwanaume yeyote
Hatimaye ukafikishwa kilele cha mlima Kilimanjaro ukiwa na tabasamu nono
Ukamwambia "Aksante hubby kwa sexy tamu mno"
"Usijali ma queen" akakujibu huku akikubusu shavuni
Ukavaa nguo
Siku ikapita
Kesho yake ukaomba urudi home
Akakuchukua mpaka sehemu zinakopaki mabasi
Akakubusu tena katika shavu. "Nimekuwa na muda mzuri na wewe" akakueleza.
Akakupa Tsh 300,000
Ukatabasamu na kumwambia tutaendelea kuwasiliana baby
Akabaki kimya.
Ndani ya basi uliyopanda ikaanza kuondoka.
Ndani ya basi hukuacha kutabasamu
Ukafika nyumbani kwenu na kumwandikia text WhatsApp kwamba umefika salama.
Yupo online lakini hakujibu text yako
Ukaamua kumtext tena, hakujibu!
Dakika chache baadae humuoni WhatsApp unaona kivuli tu. AMEKUBLOCK!!
Ukaingia fb nako amekublock
Messenger nako vilevile
Hukujua kwa nini lakini
Uliumia mno
Siku, wiki, miezi ikapita ukaanza kujisikia homa homa, mchovu, uzito umepungua
Ukaenda kituo cha afya
Ukapima
Nusu saa baadae daktari anaingia.
"Pole sana dada yangu" daktari anakuambia.
"Una maambukizi ya virusi vya UKIMWI na ni mjamzito vile vile".
Mimba, HIV+????
HOW???
Hauelewi
Inakuumiza sana,
Hauamini.
Unaenda nyumbani.
Ukiwa na hofu kubwa.
Unaona kifo hichi hapa
Unatazama angani, na unauona mwisho wako huu hapa. Unajuta kumuamini mwanaume yule kirahisi hivyo.
[THE END]
Najua vipo visa vingi vya wasichana waliotendwa vibaya na wanaume wa mitandaoni wasio wastaarabu, lakini kisa cha leo kitoshe kukupa somo kamili na kujihadhari.
Cha mwisho, msitangulize sana pesa mbele kuliko mapenzi. Katika post hii haimaanishi wanaume wote wa mitandaoni ni wabaya, la wapo na walio wema, ila kinachokuja kuwafanya mjikwae wasichana wangu, ni ile hali yenu ya kuweka mbele pesa kuliko mapenzi ya kweli. Wapo wanaume wenye uwezo humu mtandaoni ambao wao pesa ipo na hawaoni hasara kukupa wewe chochote unachohitaji ilimradi tu umempa sexy.
Lakini pia wapo wanaume humu ambao wao hawana pesa mnazozitaka kakini wana mapenzi ya kweli na wana nia njema wanapowafuta inbox; kinachowatenganisha tu ninyi na wao ni pesa. Maana umemuomba akutumie 10,000 ya soda, anakulilia kuwa dada hali ngumu, sina hiyo 10,000. Akija tena kuangalia inbox anakuta umeshamblock
Kama utakuwa umesoma kwa makini post hii, kilichomwangamiza dada huyu sio yule mwanaume bali ni kule kupenda pesa. Utakuta mwanaume amechat nawe leo tu, kesho umemwomba akutumie 15000 ya kwenda kusuka. You can't be serious mama... Utakuja kuumia. Wapo wanaume walio na uwezo kuwapa pesa, lakini kumbukeni hawatawapa bure, msiwe wepesi kutanguliza pesa za wanaume wa mitandaoni, pesa zingine mbaya zitakujaga kuwatokea puani.
Dada zangu, jifunzeni kitu kwenye kisa hiki. Ushauri wa bure huo.
Kwa Wanaotaka kuungwa kwenye group letu la simulizi na mikasa Kwa njia ya sauti mnakaribishwa, utalipata 1000 kwa mwezi, nitafute nikutumie hata moja ukipenda tunakuunga 0625645425
Comments
Post a Comment