KUBALI KUAMBIWA UKWELI
Ooh habari ndugu zangu.
Ni siku nyingine tena tumefika.
Hivi Unajua kuwa usipopenda kuambiwa ukwel utapotea vibaya sanaaa.
Ila na ww unayemwambia mtu ukwel Angalia namna basi
😀😀yan wengine wanavyowakilisha huo ukwel ni Kama
1.Wanatafut sifa
2.Anataka akuabishe vile😀😀
Kuwa makini Unajua mda mwingine unaweza ongea hadharani Ili NA wengine wajifunze.
Ila mengine kamwambie mwenyewe faragha sawa ndugu.
Hapo utadumisha Amani na upendo PIA.
Kubali kuambiwa Hakika utatoboa Usiwe mjuaji sanaa penda kupata mambo mapya.
Comments
Post a Comment