KUKATA TAMAA NI NINI?
Ni hatua kwenye maisha ambapo mgonjwa hataki tena kutibiwa kwa kuwa hataki tena kupona, mwenye huzuni hataki tena kufarijiwa kwa sababu hataki tena kuwa na furaha, mwenye hasira hataki tena kuzuiwa kwa sababu hataki tena kuwa na amani, mwenye shida hataki tena kusaidiwa kwa sababu hataki tena kuachana na shida zake, aliyepungukiwa maarifa hataki tena kushauriwa kwa sababu hataki tena kufanikisha lolote, mjinga hataki tena kuelimishwa kwa sababu hataki tena kujua chochote wala kuamini chochote wala kupenda chochote, anayeumia hataki tena kuokolewa kwa sababu hataki tena kuwa na hisia tofauti maishani.
© Mathias Masaka
Mwambie na mwenzako vitu vizuri vipo huku, pia usiaache kutembelea app hii kila siku

Comments
Post a Comment