MADHARA YA KUPIGA PUNYETO

Unaweza play haka kawimbo wakati unasoma

Punyeto au nyeto ni kitendo cha mwanaume kutumia kiganja chake kwa kujichua uume wake mpaka kutoka kwa Manii kwa lengo la kujistarehesha.
Wafanyaji wa kitendo hiki, hufanya kwa sababu mbalimbali lakini sababu kuu ni athari za kisaikolojia au kutokana na kutojiamini.
Hilo ni onyo wenye tabia hizo waache
Pia wengine wamejikuta wakiwa na tabia ya kujichua kutokana na kupendelea kuangalia picha za ngono au za wanawake wakaa utupu na kujikuta kumaliza haja zao kwa kujichua.
Kundi la vijana mabarobaro ni wahanga wakubwa katika ufanyaji wa punyeto hasa walio shule za bweni,(seminary) au vyuoni na pia wanamitindo wa kiume...
Baadhi yao hata wakija kuoa huwa hawaachi kujichua na uona starehe zaidi kuliko kukutana na mkewe.
Katika makala hii fupi tutagusia madhara yatokanayo na kujichua kwa wanaume.
*1.MWILI KUWA DHAIFU*
Hii kutokana na mwili kupoteza protein na Calcium ambayo ni muhimu kwa afya ya mifupa.... Hupelekea mifupa muda mwingi kuwa inamuuna na kuwaka moto... Na hata mfupa ulioko ktk makalio nao huwa umelika kwa sababu ya punyeto hivyo muhusika hawezi kaa kwa kikazi kimoja kwa muda mrefu utamuona Mara kakaa hivi Mara vile nk...
Pia mifupa ya miundi nayo humuuma sana pamoja na ya nyayo..
Vile vile mgongo na kiuno humsumbua sana...
*2.KUATHIRI MFUMO WA FAHAMU*
Hapa mpaka mke wake akijipara na kujikwatua yeye hashtuki wala hapandwi na mzuka kwani mishipa ya fahamu ilisha athiriwa na hiyo punyeto..

*3.UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME*
Kutokana na kitendo cha kujichua kuathiri misuli na mishipa ya damu ya uume.
*4.KUWA MTUMWA(TEJA) WA PUNYETO*
Kwa mtu aliyezoea kufanya punyeto kwake inakuwa kama kilevi (Addiction) kwake baadhi yao hawapati usingizi usiku mpaka apige nyeto au asubuhi akiamka akiwa bafuni lazima apige nyeto ndio kwake ujihisi yuko sawasawa. Au akiwa ofisini anajifungia anapiga nyeto.
Wengine hali hii huwa kubwa kwao hata wakiwa wameshaoa hisia za kufanya tendo la ndoa na mkewe huwa mbali, mpaka afanye punyeto.

*5.MSONGO WA MAWAZO.*
Ufanyaji wa punyeto kunasababisha msongo wa mawzo na athari mbaya katika akili na nafsi ya mhusika.

*6.KUWA NA USINGIZI MZITO*
Baadhi ya wanaume walio athirika na punyeto wanakuwa na hali ya kulala lala sana na upumuaji wa shida wakiwa usingizini na hali hii huwatokea zaidi mara akimaliza kutoa manii wakati wa kujichua.

*7.MADHARA YA KISAIKOLOJIA*
Kuwa na sonona (depression) na kujihisi vibaya baada ya kumwaga manii na kukosa hali ya kujiamini

*8.LIWATI.*
Kwa mwanaume mfanyaji punyeto ni rahisi kuwaendea wanaume wenzake (kuwa lawiti).
Na inatokana na hali ya kutojiamini kwao hivyo ni kuwaendea watu wa jinsi moja na wao.
Hivyo hivyo kwa mwanamke anayejichua ni rahisi kwake kuingia katika usagaji. Pia mwanamke
Kujichua kwa kutumia sanamu a.k.a Dildos ni kusamburuka kwa nyama za nyeti zako(inategemea na aina ya sanamu), kupoteza hisia za uume halisi kutokana na kuzoea "dubwana" hizo, kifo kutokana na "shock" ikiwa unatumia ya umeme, vilevile saratani ikiwa unatumia vilainishio ili kurahisisha "dubwana a.k.a toy a.k.a Dildo" kuingia.
Haya ni katika matendo mabaya na madhambi makubwa yenye kuangamiza.
Na hata wakiwa na wake kwao utupu wa nyuma una thamani kuliko utupu wa mbele Kwani huwa wanajihisi wanakuwa na ufanisi wa dhati nyuma kuliko mbele .
Kwa wanaofanya hivyo acheni kabisa hiyo tabia ni mbaya sanaa.
*9.KUWAHI KUTOA MANII*
Madhara mengine wanayoyapata ni kuwahi kumaliza wanapofanya tendo la ndoa na wake zao.
*10.KUWA NA MBEGU ZA KIUME PUNGUFU*
Punyeto inapunguza kiwango cha mbegu za kiume (Low sperm count ).
11.KUPOTEZA KUMBUKUMBU
Hili jambo limewakumba wengi sana waliopitia uchafu huo wa punyeto... Hususani wanafunzi..
*12.KUTOKUWA NA HAMU YA KINGONO NA MKEO.(LOSS OF LIBIDO)*
Sababu kubwa muhusika anakuwa kisha athirika na hiyo punyeto... Kiasi kwamba mwanamke anamwona kama katuni....
*# UBAYA WA PUNYETO (MASTURBATION) KWA WANAWAKE*
Punyeto ni hali ya mtu kujisisimua kimapenzi hadi kufika kileleni. Ili kufanikisha hilo mtu hujipapasa na kujichua sehemu nyeti ili kupandisha hisia za mapenzi.
Mara nyingi watu hudhani kuwa wanaume ndio hujihusisha na punyeto lakini utafiti unaarifu kuwa karibia asilimia 92 ya wanawake hufanya punyeto angalau wakati fulani maishani mwao.
Wanawake hufanya punyeto kwa kutumia vitu mbali mbali, wapo wanaojiingilia kwa kutumia vidole, wengine hutumia uume bandia au vifaa maalumu kwa ajili hiyo, wapo wanaotumia ndizi, bamia, chupa, matango au chochote anachoona kinaweza kumpandishia hisia za mapenzi.
Utafiti unaonesha kuwa punyeto ina madhara ya kiafya kwa mwanamke, baadhi ni haya yafuatayo:

1. Kujidhuru ukeni: uke ni sehemu laini sana isiyoweza kuhimili vitu vyenye usugu kama vidole, mashine, ndizi, tango, chupa nk. Vitu hivi vinaweza kusababisha michubuko ukeni, vinaweza kuingiza ukeni kemikali hatari au hata kusababisha maambukizi. Uke umeumbwa kuingiliwa na uume.
2. Kupungua kwa hamu na mwamko wa tendo la ndoa

3. Kuvuruga uzalishaji wa homoni za uzazi
4. Kushindwa kufika kileleni
5. Kujisikia aibu na hatia
6. Kusababisha uraibu (addiction) yaani hali ya kupenda punyeto kiasi kwamba hawezi kuacha. Wapo wanawake wanaofanya punyeto wakati wapo kwenye ndoa.
7. Maumivu ya mgongo na kiuno
8. Maumivu ya mlango wa kizazi
9. Kutoka uteute bila kujizuia ukeni
10. Nywele kupukutika
11. Kupoteza kumbukumbu
12. Kuuchosha mwili
13. Kusababisha uono hafifu wa macho
14. Kuchukia wanaume
15. Mwanamke anaweza kujifunza usagaji
Ili mwanamke awe na afya njema ya uzazi ni vema kuepuka punyeto. Furaha halisi ya mapenzi inapatikana pale mwanamke anapokutana kimwili na mwanaume.

# NB : PUNYETO/PUCHU, (MASTURBATION) NA KUANGALIA PICHA NA VIDEO ZA NGONO VILE VILE KUFUMUA MALINDA NA KUFUMULIWA MALINDA PAMOJA NA KUNYONYA NA KUNYONYWA MAGOGONI VIACHWE... KWANI NDIO CHANZO KIKUBWA CHA MATATIZO YA UKOSEFU WA NGUVU ZA KIUME NA KIKE.

Kwa Tiba Ushauri
*WASILIANA NA DR BIHIZI*
#+255715524946
#+255787524946
#+255767524946
*INSTA*
# MCHARA GWANYA
*FB*
# NYAGATA KADYEGE
*E-mail*
Mcharagwanya@gmail.com

Tumekuandalia mengi sanaa,endelea kuwa nasi, pia pitia vipengele vingine ndani ya app hii ili kupata yaliyobora zaidi

Comments

Popular posts from this blog

Life full of success just like the chinese bamboo tree

TENGENEZA POST TOFAUTI

COMMENTS NI PESA