MSAADA WA KINAFKI.


Kiukweli duniani Tupo watu wengi wenye tabia tofauti tofauti.
Wapo Ambao ukifanikiwa watafurahi ila wapo ambao, usipofanikiwa watafurahi pia.
Kuwajua watu hawa ni vigumu sana, cha muhimu ni kuishi kwa akili nyingi sana.
Na leo naongea nawe mwenye tabia za kutoa msaada wa kinafiki, yaani hauna nia thabiti ya kumsaidia mtu bali ni kumeweka kwenye mazingira ya kitumwa na kukutegemea kila wakati.
Kaka, dada, baba, mama,mzee,kijana Kwa nini unashindwa kumsaidia kweli yule unayejifanya unamsaidia???
Ngoja nikikumbushe kitu, kuna siku moja huyo unayemsaidia kinafki kisa yeye NI maskini na hajiwezi atashituka tu na utajuta sana kumfanyia ubaya huo.

Wale wote wenye misaaada bandia Kwa lengo la kudumisha upendo tu lakini hawamaanishi najua mtakuwa mmenielewa.
Tuache hayo sasa tusaidiane kweli ndugu.

Comments

Popular posts from this blog

Life full of success just like the chinese bamboo tree

TENGENEZA POST TOFAUTI

COMMENTS NI PESA