NASHINDWA KUACHA TABIA CHAFU!!!!!!

Pole na hongera kufika siku ya Leo,najua kuna tabia flani hata wewe hauipendi ila unajikuta unaifanya mara kwa mara na inakutesa kweli.
Kwa mfano kuna tabia ya kuacha kuangalia pornography watu wengi wanajitahidi ila wanashindwa.
Naomba Leo nisiongelee kidini sana ila.Nikwambie maneno machache juu ya tabia usiyoipenda.

Unapokosea hasa ni kwamba unaniacha tabia hiyo katika hali ya mihemko tu.
Aah labda haujanielewa Ngoja nikupe Mfano.
**///Yawezekana labda kuna mtu amesema tabia flani sio nzuri Na wewe ghafla ukakurupuka na kuanza kujinadi aidha kwa kuongea au moyoni moyoni ukisema kwamba Leo ndio mwisho na mwanzo kuwa na tabia hiyo**//
Ndugu yangu hapo ni mihemko tu na unajidanganya kwa tabia uliyoizoea ukiaicha kwa ghafla basi itakurudia ghafla na inakutesa sana zaidi ya awali.

Nini chakufanya sasa usiache tabia hiyo!!
Maneno haya tukusaidie kwamba tabia mbaya uliyoizoea sana kwanza kabisa anza kuidharau na kisha ichukie taratibu hata kama inajirudia na unaifanya.
Isitokee ukajichukia pale unapojikuta umeirudia tabia mbaya uliyoizoea bali shtuka kidogo kisha jipongeze Kwa mda wote ambao haujaifanya hiyo tabia alafu jisemee moyoni kwamba, utajitahidi kutoirudia tena hiyo tabia zaidi ya hapo.

Endelea kuwa nasi mwambie na mwenzako kuhusu app hii 

Comments

Popular posts from this blog

Life full of success just like the chinese bamboo tree

TENGENEZA POST TOFAUTI

COMMENTS NI PESA