PESA AU MAARIFA???



Its very important to share what you have learned, not just what you have earned, and bequeathing values over valuables

Urithi mzuri ambao mtu atakuachia ni kukufundisha kile alicho jifunza yeye  kisha unakitumia, baadae na  wewe unamfundisha mtu mwingine.

Mtu amaweza akakupa pesa alizo nazo lakini siku asipo kupa maana yake huwezi kuendelea mbele, lakini akikupa maarifa ya kupata pesa yatakusaidia maisha yako yote.

Shida kubwa kwa watu wengi  ni pale tunapofikiri pesa inaanza kabla ya maarifa

Kuna watu wamepata pesa lakini hazijawasaidia na wamerudi kuwa masikini tena, kuna watu wanazitafuta pesa usiku na mchana lakini maisha yao hayabadiliki.

Yes watu wamechukua mikopo bank lakini biashara walizoanzisha zimefeli na bank zinawadai marejesho.

Kipaji ulicho nacho pekee hakitoshi ila  kama  utaongeza juhudi, maarifa na ustahimilivu kitakupa matokeo chanya

Comments

Popular posts from this blog

Life full of success just like the chinese bamboo tree

TENGENEZA POST TOFAUTI

COMMENTS NI PESA