INSTAGRAM class 01



najua wengi mnafahamu kuhusu tags au mmesikia au mnazitumia.
Naomba tuendelee na hili darasa mambo ya kawaida kama haya kisha tutaleta zile nondo kubwa kubwa.
Sasa Leo tuangalie matumizi sahihi ya tags
Hizi # tags zina umuhimu sana kuongeza viewers wa post yako, mfano mm 75% ya wanaoview nawapata kwenye tags
Jaribu kufuatilia tags zinazotrend kwa sasa na ww uzitumie hizo hizo
Angalia kwenye post za watu wanapendelea tags gani Kisha kama zinakufaa na wewe zitumie 💪🙏🙏.

Comments

Popular posts from this blog

Life full of success just like the chinese bamboo tree

TENGENEZA POST TOFAUTI

COMMENTS NI PESA