NIDHAMU BINAFSI-001
NIDHAMU BINAFSI
SEHEMU YA KWANZA
instagram @Yurisdutch
Yurisdutch@gmail.com
Kuna wakati unapoanza Kufanya jambo unalianza kwa Nguvu zote na kwa Hamasa kubwa sana,kuna wakati MTU anapoanza Kufanya jambo analifanya kwa juhudi sana na kujituma lakini kadiri muda unavyokwenda ndivyo MTU huyo anavyopoteza passion/Hamasa ya kuendelea kulifanya kwa kiwango kile kile alichoanza nacho.
Mtu mmoja aliwahi kusema "What distinguishes the truly successful person from the average person is the ability to understand why you are feeling demotivated "
Kinachomtofautisha MTU aliye fanikiwa na MTU wa kawaida katika mafanikio ni ule uwezo wa kuelewa kwa nini Hamasa aliyokuwa nayo hapo mwanzo imepungua.watu wenye kuhitaji kufanikiwa siku zote huitikia katika sababu ya kupungua kwa Hamasa na kuifanyia kazi.Watu wengi tunashindwa kujiuliza ni jambo gani liliondoa Hamasa yetu katika kile tunachokifanya matokeo yake tunarudi nyuma badala ya kupiga HATUA.
Ni vigumu kupata Amani kama huna Amani ikiwa kitu kinachokunyima Amani hukifahamu" yuris dutch" hii ni sawa na kutaka kutibu ugonjwa usioufahamu.
Unataka kupiga HATUA kwenda mbele lakini sababu za Kufanya hivyo huna,hali kama hizi na zinazofanana na hizi ndizo zenye kupelekea Hamasa kupotea.
Ili ujue njia sahihi ya kukabiliana na changamoto Fulani ni lazima uijue pia sababu ya changamoto yenyewe. Lazima ujiulize kwann changamoto hiyo imekuwepo then ukishajua sababu chukua HATUA.
Hamasa ni kitu cha asili kilichopo ndani ya MTU Mwenyewe,ukiamua kuiinua Hamasa yako au kuidondosha ni wewe tu,maamuzi juu ya Hamasa yako yapo kwako Mwenyewe.
Wengi wamekubali kutegemea Hamasa kutoka kwa watu wengine matokeo yake wanapokosa Hamasa kutoka kwa watu hao, wanarudi nyuma na wengine wanakata tamaa.
Mwisho wa safari moja ni mwanzo wa safari nyingine. Choices and decisions tupo kwa ajili yako.sehemu ya pili itakujia somo lijalo.
Yurisdutch@gmail.com
Choices and decisions 2020

Comments
Post a Comment