UNAELEWA NINI UKISIKIA NENO CONTENT???

Neno hili sio jipya sana wengi wetu tumelisikia
Ila baadhi ya watu nimeona wakinuuliza hii kitu ina maana gani
.
Ipo hivi content kwa lugha nyepesi ya kiswahili ni maaudhui!!

Sasa maudhui yanaweza kuwa kwenye mfumo Tofauti Tofauti
Kwa mfano video,picha,maandishi ama sauti...

Hivyo humu Instagram ama Facebook ama youtube ,tunavyoviona vile ni contents

Kuanzia leo naamini umepata mwanga kidogo kuhusu neno content.....

Ila kumbuka ila maana tofauti tofauti
Ila hapa nimezungumzia hasa kwenye kazi hizi za online...
Asante tumerudi tena,naomba kama contents😁 zetu zinakusaidia ama unazipenda share na rafiki yako kwani hata wewe tumeshare bure kabisa

...

Turn on Post Notification

PITIA PAGE HII UJIFUNZE ZAIDI👂

#Thisisourvoice

"we restore back our mind capability , we create facts to show our ability" .

.

Like🔛SAVE🔛 comment🔛 SHARE

Comments

Popular posts from this blog

Life full of success just like the chinese bamboo tree

TENGENEZA POST TOFAUTI

COMMENTS NI PESA