USHAURI WA PESA
Ushauri kutoka kwa @sirjeff_dennis
Kila siku nasema na sitachoka kusema kuwa -- vijana tutafute sana pesa. Kukosa hela kunaweza kukufanya uwe ACTIVE sana kwenye mambo ya kijinga mwishoe uwe MJINGA, mbaya zaidi unakua mjinga bila kujijua km umekuwa mjinga
But ukiwa na pesa unajikuta automatically busy na upo FOCUSED na mambo yako, mambo yanayokufanya u-grow zaidi ya jana. Ni ngumu sana kuwa na pesa na kuwa mjinga kwa wkt mmoja. TUENDELEE KUTAFUTA PESA!

Comments
Post a Comment